JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hivi kumbe sijakwambia kama siku hizi mimi ni mchungaji mtume nabii mke?
Jumatatu sio siku ya Bwana ni siku ya kaisari!
Uache kuwaza kwa sauti, utapata tabu sana[emoji53]
Aisee, utakua ni wakipekee kwakweli sio kwa vyeo vyote ivyo[emoji15]
Vipi Mtumishi utakua na nafasi saivi nije unifanyie maombi?[emoji101]
 
Back
Top Bottom