D
Deleted member 485868
Guest
Mlale na salama
Karibu tulale woteeMlale na salama
Ameeen! Na kwako pia.Good morning watu wa Mungu,.muwe na siku njema yenye kibali na kupendeza...Mungu akawabariki sawasawa na uhitaji wenu..eimen!!!
Amina,.Ameeen! Na kwako pia.
Mhhhh....Eeeh mwenyezi mungu simama nami kwenye wakati huuuuuView attachment 799917
Ile nanii nimeisahau, Ngoja tuone leo. Usiku mwemaEeeenhe![emoji101][emoji101]
Mshafanya yenu....[emoji4] [emoji4]Mhhhh....
Mkuu, kulikoni[emoji15] [emoji47] [emoji52]
Basi bwana, maana hata leo utasahau tu[emoji18] [emoji18]Ile nanii nimeisahau, Ngoja tuone leo. Usiku mwema
Kumbe upo macho. Upo fresh?Mshafanya yenu....[emoji4] [emoji4]
Sijambo, hofu kwakoKumbe upo macho. Upo fresh?
Hapana Comrade.....Mshafanya yenu....[emoji4] [emoji4]
Pole kwa kutofurahishwa ila tambua kuwa machozi ni sehemu ya maisha kwa mwanamke na mbaya zaidi kuna wanaume wenzio hufurahia kuyaona yakitiririka kama hivyo! [emoji18] [emoji18]Hapana Comrade.....
Ujue Mimi ni Baba mwenye huruma sana, ingawa nina mapungufu yangu kama mwana wa Adam.
Supendi na sifurahii kuona vitu kama hizi zikiendelea ku-exist kama hivi
Sawa Amigo....Pole kwa kutofurahishwa ila tambua kuwa machozi ni sehemu ya maisha kwa mwanamke na mbaya zaidi kuna wanaume wenzio hufurahia kuyaona yakitiririka kama hivyo! [emoji18] [emoji18]