HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Angalia usijepata tabu sana
naomba niwakimbie. jpili njema, usiku mwemaAngalia usijepata tabu sana
naomba niwakimbie. jpili njema, usiku mwemaMwache alete ubishi atagalagala mpaka shuka lote litanduke kitandaniAngalia usijepata tabu sana
Shukrani sana! Naomba uniote eeeh![]()
![]()
![]()
naomba niwakimbie. jpili njema, usiku mwema
Mwache alete ubishi atagalagala mpaka shuka lote litanduke kitandani

Mkuu hali ya anga huko imechafuka sana nn mpaka unaamua kushusha chopa mapema yote hii.![]()
![]()
![]()
naomba niwakimbie. jpili njema, usiku mwema
Kesho nitakusimuliaShukrani sana! Naomba uniote eeeh
SawaKesho nitakusimulia
Kamanda hali si shwariMkuu hali ya anga huko imechafuka sana nn mpaka unaamua kushusha chopa mapema yote hii.
Haya wajameni nami sina budi kushusha chombo maana siwezi kubaki peke yangu huku anganibachelor sugu kwaheri, ngoja nimsindikize HB wa kigogo maana namuona mwoga mwoga
Okay ucku mwema na kwakoKamanda hali si shwari
Sawa timekeeper tunashukuru kwa muda njoo ufunge geti sie tunatoka.USIKU MWEMA NA J2 NJEMA KWENU NYOTE.
Hahahhahaha pole sanaNimepata tabu sana kutafsiri hili neno nikahisi Ali kiba ila nikaona mbona mada haziendani mwishoni ndo nimekumbuka maana yake.
Haya njoo unisimulieKesho nitakusimulia
Thad njoo sasaHaya njoo unisimulie