bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Huyu bado anajifunza kuwanga hajawa mzoefu ndo maana kaaga mapema,hii shughuli ina wenyeweUsingizi wako umemaliza kukata kiba100 mara hii?
Huyu bado anajifunza kuwanga hajawa mzoefu ndo maana kaaga mapema,hii shughuli ina wenyeweUsingizi wako umemaliza kukata kiba100 mara hii?
Aisee! Ina elekea una wasiwasi na teknolojia yakoNia nilikuwa nayo, uwezo nilikuwa nao ila nimekosa sababu....
Mwache atumikie majukumu ya usiku maana huu ndio muda wenyeweHuyu bado anajifunza kuwanga hajawa mzoefu ndo maana kaaga mapema,hii shughuli ina wenyewe
Inategemea km shoka lenyewe mapengo tupu na mpini wa bua la muhindi kwa nn kisu kikali kisiweze??Limeshindwa shoka utaweza wewe kisu?
Mara paaaap naingia chumbani kwako na ungo...kama nakuona utakavyopiga makelele huku umetoa machoAisee! Ina elekea una wasiwasi na teknolojia yako
Naona kiba100 kilikuwa kinazingua kinapima uongo gauge ya oil wakati hakifiki mwisho.Mwache atumikie majukumu ya usiku maana huu ndio muda wenyewe
Usijidanganye ndugu yangu,kisu hata kiwe na makali vipi hakiwezi kukata kisiki cha mpingo!Inategemea km shoka lenyewe mapengo tupu na mpini wa bua la muhindi kwa nn kisu kikali kisiweze??
Mara paaaap naingia chumbani kwako na ungo...kama nakuona utakavyopiga makelele huku umetoa macho
nina weza kuzimia. Niache nikomae na blanket languSio makelele tu na mbio zaidi ya Bolt ndani ya boxer bila kujaliMara paaaap naingia chumbani kwako na ungo...kama nakuona utakavyopiga makelele huku umetoa macho
Halafu ndugu, jana nilikukuta mtaani kwako, nikakuulizwa swali hujanijibu...Naona kiba100 kilikuwa kinazingua kinapima uongo gauge ya oil wakati hakifiki mwisho.
Sio makelele tu na mbio zaidi ya Bolt ndani ya boxer bila kujali


nitacheka mpaka basi![]()
![]()
nina weza kuzimia. Niache nikomae na blanket langu


hiyo ndio sababu ya kughairi kwangu sasaWw usinifanye nikaenda kukagua mlango km nimefunga vizuri aisee.Halafu ndugu, jana nilikukuta mtaani kwako, nikakuulizwa swali hujanijibu...
Njoo uniangalie nipo hapa mlangoniWw usinifanye nikaenda kukagua mlango km nimefunga vizuri aisee.
Hatari sanahiyo ndio sababu ya kughairi kwangu sasa
Punguza uoga, basi nitakutafuta mchana kweupe maana naona ushaanza kuniogopaWeeeee sitokagi nje mm hata waje watoto wa siro sitokiiiiii
Angalia usijepata tabu sanaHatari sana
Hahahahaha Niulize tena basi swali lako maana jana nilikuwa nimevurugwa ulipokuja mtaani ndo maana sikukujibuPunguza uoga, basi nitakutafuta mchana kweupe maana naona ushaanza kuniogopa
Ushanielewa lakini? Au mpaka nimwage mchele kwenye kuku wengi?Hahahahaha Niulize tena basi swali lako maana jana nilikuwa nimevurugwa ulipokuja mtaani ndo maana sikukujibu