HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Thad?Tupo ila tuna majonzi, wenyeji wetu Russia wametolewa
Thad?Tupo ila tuna majonzi, wenyeji wetu Russia wametolewa
AbeeeThad?
Upo?Abeee
Hahahahaha kwani mwenyeji kukuachia kitanda au chumba mgeni ni vibaya km nafasi hairuhusu?Tupo ila tuna majonzi, wenyeji wetu Russia wametolewa
Tumeshaingia, haya leta gahawa tunyweJamani geti c liko wazi mbona hamuingii we Thad na mwenzio
Nipo nimejaa tele kama pishi la mcheleUpo?
Hahahaha timekeeper atuambie kwanza muda ili tusije pitilizaTumeshaingia, haya leta gahawa tunywe
Tumezoea mgeni njoo mwenyeji apone sio mgeni njoo mwenyeji nipate tabu sanaHahahahaha kwani mwenyeji kukuachia kitanda au chumba mgeni ni vibaya km nafasi hairuhusu?
Ujambo mwananguJamani geti c liko wazi mbona hamuingii we Thad na mwenzio
Okey nimekumiss tuNipo nimejaa tele kama pishi la mchele
Sijambo Dada upo?kumbe na ww unawangaga eee???Ujambo mwanangu
Naona unajizungusha tu si utuambie tu kuwa hapa stori tu kula makwetu!Hahahaha timekeeper atuambie kwanza muda ili tusije pitiliza

Njoo tulaleOkey nimekumiss tu
Aysee usingizi umekataSijambo Dada upo?kumbe na ww unawangaga eee???
Kwikwikwikwi nyau leo kalala jikoni jomon....Naona unajizungusha tu si utuambie tu kuwa hapa stori tu kula makwetu!![]()
Umekata kamba au shauri?Aysee usingizi umekata

Kiba100Umekata kamba au shauri?![]()
Mwamshe atoke tupike zetuKwikwikwikwi nyau leo kalala jikoni jomon....
Yaan na hii baridi ya huku kwetu ungekua karibu ningekuja. Baridi ni nomaNjoo tulale
Angalia world cup basi km kuna mechi.Aysee usingizi umekata