Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Whaaaaat!?[emoji15]Kiba100
Whaaaaat!?[emoji15]Kiba100
GudnytWhaaaaat!?[emoji15]
Nikutumie ungo ukufuate uliko ukulete?[emoji6]Yaan na hii baridi ya huku kwetu ungekua karibu ningekuja. Baridi ni noma
Kweli aangalie mechi ya nusu fainal kati ya Russia na Brazil ndio inaanza[emoji12]Angalia world cup basi km kuna mechi.
Kama itawezeka. Ila na hii hali ya hewa hitilafu haiwezi kutokea tukapoteza mawasilianoNikutumie ungo ukufuate uliko ukulete?[emoji6]
Nimepata tabu sana kutafsiri hili neno nikahisi Ali kiba ila nikaona mbona mada haziendani mwishoni ndo nimekumbuka maana yake.Kiba100
Usichezee technolojia ya mtu mweusi, haitishwi na hali ya hewa hata siku moja.....Kama itawezeka. Ila na hii hali ya hewa hitilafu haiwezi kutokea tukapoteza mawasiliano
[emoji2] [emoji2] [emoji2] huyu atapata tabu sana km usingizi umekata maana sauti za majogoo litakuwa halali yakeKweli aangalie mechi ya nusu fainal kati ya Russia na Brazil ndio inaanza[emoji12]
Hahahahaaaa kuuliza sio ujinga, ungeniuliza ili nikutafasirieNimepata tabu sana kutafsiri hili neno nikahisi Ali kiba ila nikaona mbona mada haziendani mwishoni ndo nimekumbuka maana yake.
Mtoto wa ushuani huyo, kwao hakunaga majogoo[emoji2] [emoji2] [emoji2] huyu atapata tabu sana km usingizi umekata maana sauti za majogoo litakuwa halali yake
Ilibaki kidogo tu niulize ila nimechelewa ubongo ukawa umekumbukaHahahahaaaa kuuliza sio ujinga, ungeniuliza ili nikutafasirie
Hebu tuma fasta hali ni teteUsichezee technolojia ya mtu mweusi, haitishwi na hali ya hewa hata siku moja.....
Au unaogopa utamwagaje wifi?[emoji12]
Usingizi wako umemaliza kukata kiba100 mara hii?Gudnyt
Hahahaaa nimeghairi nimeona u muoga sanaHebu tuma fasta hali ni tete
Basi tabu ni halali yake huyuMtoto wa ushuani huyo, kwao hakunaga majogoo
Bora umejiongezaIlibaki kidogo tu niulize ila nimechelewa ubongo ukawa umekumbuka
Ulikuwa hauna niaHahahaaa nimeghairi nimeona u muoga sana
Kwani uwakilishi hauruhusiwi?Hahahaaa nimeghairi nimeona u muoga sana
Nia nilikuwa nayo, uwezo nilikuwa nao ila nimekosa sababu....Ulikuwa hauna nia
Limeshindwa shoka utaweza wewe kisu?Kwani uwakilishi hauruhusiwi?