Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ushachelewa, uvumilivu umewaishiaHahahaha kumbeeee nahamia arsenal msimu mpya nimechoka kuwa bachelor.
Ushachelewa, uvumilivu umewaishiaHahahaha kumbeeee nahamia arsenal msimu mpya nimechoka kuwa bachelor.
Yap tuko wote hata mkuu The Icebreaker namuona jahazi moja nasiKumbe tuko wote...safi sana
Utekaji wake uliuonaje lkn? Uliufurahiaaaa au ulikuboa?Aliniambia nikamtembelee mimi nikaenda nikijua kwa vile ni popo mwenzangu hana shida, loo nivyoingia ndani tu akaniteka mazima![]()
Ilikuwaje ukalipa pasipo kuwa na sababu za msingi?1. Mbona tukiwaambia tusaidiane kutafuta hela ili kusaidiana kutunza familia mnaruka futi mia? Huo usaidizi ni kwenye mambo gani?
3. Sio kila mila na desturi zinafaa kwa ulimwengu wa sasa ulivyo. (Ndio maana saivi chief wa ukoo/kabila fulani hazikwi na mtu/msindikizaji akiaga dunia.
4. Mwanamke haolewi ili akatunzwe na mume, bali ni kumsaidia mume majukumu.
5. Sijaona sababu ya tano.
NB;- Sijaona sababu ya msingi kwanini tulipe mahari (japo nishalipa).
Ala kumbe tuko wote chama la wana...basi vizuri!Hahahaaa! Mimi nipo Darajani mkuu.
Una maswali mengi ThadIlikuwaje ukalipa pasipo kuwa na sababu za msingi?
Aliniambia nikamtembelee mimi nikaenda nikijua kwa vile ni popo mwenzangu hana shida, loo nivyoingia ndani tu akaniteka mazima![]()

Thubutuuuu kwa walowezi juzi tu hapa tumebeba ndoo, kwa manamba napo bado tuna kumbukumbu ya mil.600...chezea weweIla msimu huu mtani, naona kila mahali moto, sio kwa walowezi wala kwa jabali![]()

Hongereni kwa kujiunga rasmi na EuropaKumbe tuko wote...safi sana

Mjomba yupi, huyu wa bongofleva au kaka yake mama?Na wote tuseme Amen. Tatizo lako bayana unaficha na ya sirini unaleta bayana. (Najikumbusha mistari ya Mjomba)![]()

Akikutag unitagAkikujibu unitag mkuu.
Inapendeza sana!Yap tuko wote hata mkuu The Icebreaker namuona jahazi moja nasi
Uliona wapi mateka akifurahi?Utekaji wake uliuonaje lkn? Uliufurahiaaaa au ulikuboa?
Hahah! Kitambo tu![]()
![]()
Kumbe na wewe umegundua hii janja yao eeeh!
Hawakuniambia ni mahari, nilifanya kazi za shamba miaka mitano bila malipo, nilipotaka kuondoka wakaniambia chukua binti yetu ukaishi nae, tumekuona wewe ni kijana mzuri, na mahari yake ni miaka 5 uliyofanya kazi. Kiufupi sikuwa na uwezo wa kukataa.Ilikuwaje ukalipa pasipo kuwa na sababu za msingi?

Wale watu wako wawili washaniteka, usihangaike kunishtaki hutanipata katu![]()
![]()
![]()
Hivi hili sio Shambulio la uchochezi kweli? Ngoja nitafute wakili![]()
Kesho sitakuwa na nafasiHongereni kwa kujiunga rasmi na Europa![]()
![]()
Karibuni kesho mitaa ya Kiev mkashuhudie mabingwa wa Ulaya![]()
![]()



Hahahaha yetu macho tu msije mkageuka daftari la watu kuandika historia tu.Hongereni kwa kujiunga rasmi na Europa![]()
![]()
Karibuni kesho mitaa ya Kiev mkashuhudie mabingwa wa Ulaya![]()
![]()