Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Hahah eti saa saba tu wameshasanda kweli kuku kuku...kama kuku
Hahah eti saa saba tu wameshasanda kweli kuku kuku...kama kuku
ila we nmekukubali na umechukua cheo cha mwifwa sasa popo suguWadau humu walisanda mapema sana
Aisee nilisahau kama alikua honeymoon bhanatokea apate le mbebez wake ata huku haonekani sio kufunga tu geti


Pole sana, yani huyo itabidi alete mahari na adhabu atapewa ya kulima shamba....kwann akupeleke busy hivyo!Nipo kaka. Duh!!! Busy kuandaa futali na dak uvya baba chanja kila Leo..nachokaje,hebu mtoze mahari Mara ya pili kaka
Una utani na washabiki wa Mo. S wewe...Nafungua geti. Leo kuna mgao wa supu ya jogoo
OyoooooooooooooooooooooooooooooLeo nakunywa tuuuu,madriiiiiiiiiid
Imeshatokea inabidi tunywe supu tu.Una utani na washabiki wa Mo. S wewe...
Oyooooooooooooooooooooooooooooo
WoyooooooooooooooooooLeo nakunywa tuuuu,madriiiiiiiiiid
Shikamoo jamaniEbanaeeeeeeee
Madrid na ww? OyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooWoyoooooooooooooooooo
Sio swali hilo ndio mana mpaka sasa sijalalaMadrid na ww? Oyooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mbalizi 1 homeboy!!!!!Oyooooooooooooooooooooooooooooo