JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hawakuniambia ni mahari, nilifanya kazi za shamba miaka mitano bila malipo, nilipotaka kuondoka wakaniambia chukua binti yetu ukaishi nae, tumekuona wewe ni kijana mzuri, na mahari yake ni miaka 5 uliyofanya kazi. Kiufupi sikuwa na uwezo wa kukataa.[emoji40]
Wacha weeee...bila shaka ulipewa binamu yako. Hongera sana![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom