JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu sababu utaziona kuwa wanajenga timu mzee aliacha timu inatembelea rim kwa hiyo kocha apewe muda c unajua ile ni timu ya wenye mioyo migumu we 22+yrs bila ndoo na bado watu wamevumilia.
Mpaka wanawake tulishajua kuwa ukitaka mwanaume mvumilivu basi olewa na shabiki wa Arsenal [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1.Mwanaume ndiye anayepata msaidizi
2.Mwanaume anapata uwezekano wa kuongeza ukoo wake
3.Mila na desturi zetu toka enzi na enzi
4.Mwanaume anawahakikishia wakwe zake kuwa yuko vizuri kiasi kwamba ataweza kumtunza mke
1. Mbona tukiwaambia tusaidiane kutafuta hela ili kusaidiana kutunza familia mnaruka futi mia? Huo usaidizi ni kwenye mambo gani?
3. Sio kila mila na desturi zinafaa kwa ulimwengu wa sasa ulivyo. (Ndio maana saivi chief wa ukoo/kabila fulani hazikwi na mtu/msindikizaji akiaga dunia.
4. Mwanamke haolewi ili akatunzwe na mume, bali ni kumsaidia mume majukumu.
5. Sijaona sababu ya tano.

NB;- Sijaona sababu ya msingi kwanini tulipe mahari (japo nishalipa).
 
Back
Top Bottom