Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Mimi mwenyewe siwajui, japo nawaona wapo dirishani kwangu wanachungulia.Kwani hao watu wawili hapo juu ndo wasiojulikana wenyewe nini?
Mimi mwenyewe siwajui, japo nawaona wapo dirishani kwangu wanachungulia.Kwani hao watu wawili hapo juu ndo wasiojulikana wenyewe nini?
Mkuu sababu utaziona kuwa wanajenga timu mzee aliacha timu inatembelea rim kwa hiyo kocha apewe muda c unajua ile ni timu ya wenye mioyo migumu we 22+yrs bila ndoo na bado watu wamevumilia.Sidhani kama upo sahihi kihivyo,
Fikiria kwa mfano tu next season Arsenal amalize ligi kwa kushika namba 10 position,hapo Wenger hatokumbukwa? Arsenal ikikosa kushiriki UCL kwa miaka mitatu tu Wenger hatokumbukwa?
Time will tell.
Duh! Kweli mlimchoka mzee wa watu![]()
![]()
![]()
1.Mwanaume ndiye anayepata msaidiziTaja sababu tano kwanini ni jukumu la mwanaume kulipa mahari. Ukiweza ...............
Wanaviziaaga wake zao wamelala wanaingia jf, mke akistuka ndio unaona na yeye anapoteaHiyo sio ndoa labda ndoano, yaani atumikie ndoa ukiwa jf?![]()
Hahahaa! Mkuu Arsenal ni kampuni ya biashara na sio team ya soccer ndio maana wenye team walivumilia tu,wanahesabu faida kuliko mafanikio "vikombe" teh! teh!Mkuu sababu utaziona kuwa wanajenga timu mzee aliacha timu inatembelea rim kwa hiyo kocha apewe muda c unajua ile ni timu ya wenye mioyo migumu we 22+yrs bila ndoo na bado watu wamevumilia.
Huu uzoefu uliupatia kwa Shunie?Wanaviziaaga wake zao wamelala wanaingia jf, mke akistuka ndio unaona na yeye anapotea
Nimesema hivi USIRUDIE KUNITEKA TENAUjue siku hizi maandishi madogo siwezi kuyasoma kabisa, hebu nisomee kwa sauti haya maneno niyasikie![]()
Tumelala mkuu ila tunatype ndotoni..teh! teh! Karibu sana.Mko macho au mmelala
Vipi mkuu mbona kama hili suala la Wenger kuondoka limekuumiza? Wewe ni shibiki wa Arsenal au ndo yale mambo ya adui mwombee njaa?Sidhani kama upo sahihi kihivyo,
Fikiria kwa mfano tu next season Arsenal amalize ligi kwa kushika namba 10 position,hapo Wenger hatokumbukwa? Arsenal ikikosa kushiriki UCL kwa miaka mitatu tu Wenger hatokumbukwa?
Time will tell.



Duh kwahiyo jf huku ndio kichaka cha popoTumelala mkuu ila tunatype ndotoni..teh! teh! Karibu sana.
Hivi ile 50×50 ww haikuhusu? Enzi zetu ilikuwa hivyo lkn miaka ya leo naona hizo taratibu zinapotezwa na kupotea1.Mwanaume ndiye anayepata msaidizi
2.Mwanaume anapata uwezekano wa kuongeza ukoo wake
3.Mila na desturi zetu toka enzi na enzi
4.Mwanaume anawahakikishia wakwe zake kuwa yuko vizuri kiasi kwamba ataweza kumtunza mke
Umesema London? Unashabikia nani pale?Mi ni jirani yao tu pale London ila nilijikuta hata mi nimemchoka aisee maana alikuwa anawakondesha watoto wa watu bure we mpaka jezi wanatembea nazo kwenye lasket wakishinda ndo unaona wanazifukunyua kuzivaa.
Alikutekaje tekaje ?Nimesema hivi USIRUDIE KUNITEKA TENA