JamiiForums Usiku wa manane
Salam zitafika ila Wenger mtamkumbuka sana,sometimes thamani ya kitu hujulikana pale unapokipoteza!
Ili Arsenal wamkumbuke Wenger mkuu utakuwa ushaanza kupinda mgongo kwa uzee maana itabidi wakae miaka zaidi ya aliyokaa Wenger bila ndoo ndo wataanza kumkumbuka ila kwa sasa hakuna walichokipoteza.
 
Ili Arsenal wamkumbuke Wenger mkuu utakuwa ushaanza kupinda mgongo kwa uzee maana itabidi wakae miaka zaidi ya aliyokaa Wenger bila ndoo ndo wataanza kumkumbuka ila kwa sasa hakuna walichokipoteza.
Sidhani kama upo sahihi kihivyo,

Fikiria kwa mfano tu next season Arsenal amalize ligi kwa kushika namba 10 position,hapo Wenger hatokumbukwa? Arsenal ikikosa kushiriki UCL kwa miaka mitatu tu Wenger hatokumbukwa?

Time will tell.
 
Duh! Kweli mlimchoka mzee wa watu
Mi ni jirani yao tu pale London ila nilijikuta hata mi nimemchoka aisee maana alikuwa anawakondesha watoto wa watu bure we mpaka jezi wanatembea nazo kwenye lasket wakishinda ndo unaona wanazifukunyua kuzivaa.
 
Back
Top Bottom