Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Hapana hicho ni kijitaHivi hiki ni kilingala eeh?
Hapana hicho ni kijitaHivi hiki ni kilingala eeh?
Linalowezekana leo lisingoje kesho...Naomba nikutafsi... Kesho
Please
Huwezi kuwika kama mmYaani kusema kokolikooooo tu ndo kunishinde khaaa nitakuwa mzembe wa mwisho sasa
Wapi huko?[emoji125] [emoji125] [emoji125]Basi kuja haraka hapa
Wika tusikie [emoji101]Huwezi kuwika kama mm
Unabisha.
[emoji23] [emoji23]Yaani kusema kokolikooooo tu ndo kunishinde khaaa nitakuwa mzembe wa mwisho sasa
Hiki kitakua kile cha ndani kwelikweli[emoji2] [emoji2]Hapana hicho ni kijita
Kumbe uko na shost angu Mzigua90, basi mi siji nisije nikaleta mgongano wa kimaslahi [emoji23][emoji23][emoji23]@Mzigua90 hivi tuko wapi hapa?
Yupo hapa anagonga JD taratibuKumbe uko na shost angu Mzigua90, basi mi siji nisije nikaleta mgongano wa kimaslahi [emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana weeeee, nimefurahi kidogo. Furaha yangu itakamilika Chattel nayo ikiwa jiji[emoji23] [emoji23]
Leo kuna kitu umeonja sio bure, au ndo furaha ya Mjini kati kuwa jiji.[emoji125]
Mpe salamu zanguYupo hapa anagonga JD taratibu
mambo ThadLinalowezekana leo lisingoje kesho...
AmepokeaMpe salamu zangu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Bwana weeeee, nimefurahi kidogo. Furaha yangu itakamilika Chattel nayo ikiwa jiji
Kwani cha nje unakifahamu? Njoo tukiongee [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hiki kitakua kile cha ndani kwelikweli[emoji2] [emoji2]
Kuna mtu anakusalimia lakini!!Kwani cha nje unakifahamu? Njoo tukiongee [emoji12] [emoji12] [emoji12]