JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahah Jack daniels siku hizi ni mwendo wa kupima kwa double tu,mbwembwe za Chupa nzima kushnei hahah
Hahahahaaa
Hatariii
Ila watu wanakwambia hata kipindi cha njaa cha mwaka 1983/84 bado watu walikuwa wana piga bia
Starehe zitapungua ila hazta isha
 
ABYEI 02:45
Screenshot_2018-04-07-02-43-40.jpg
 
Mama chacha, [emoji13] [emoji13] muone baba chacha anapita hapa muda huu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom