Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
naifungaje sasa jaman akii unataka nicheke tu
Hahahaaj![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huu utoro unanikosti sana,
Nimelimbikiziwa homeworks na quiz kibao pamoja na Imla bado nimeambiwa nisubirie Dictation pia
AiseeBraza hapa leo umeme umekatika halaf chaji asilimia chacheeee
Inabid utuache na MwifwaHahaha
Ngoja niangushe tuuu
Ntakuja kesho
HahahajInabid utuache na Mwifwa
HahahahAisee
Pole mkuu
Huenda mlinzi kalalia switch, akijigeuza utarudi fast
Itanipigaaa makofiii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Inyime chakula itakuwa mipole
Mkuu hivi upo singleHahahaaj
Usjali
I love her sanaa
Niitie huyo popoz tafadhaliOiiii amka ww unaanzaje kulala bhan!!! whitehorse
Nan alikuficha siku zoteee 3Nilikuwa nakagua lindo toka juzi sikuhudhuria humu.
Yes mkuuMkuu hivi upo single
Salamaaa karibu my wiiiiHabari zenu
PoaHabari zenu
Oooh sawa mbn kama muhengaa wewe huo usingle inakuwaje kwa mfano mpaka leo hutak kuoaaaYes mkuu
NaamInabid utuache na Mwifwa