mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Tangu wamvunjie kanisa lake hapo dar siku hizi mara nyingi yuko mbele huko Korea,Japan,States inaonekana anakubalika huko.Hahahaha
Halaf hivi mbona Gwaji katulia sana shda nn?
Tangu wamvunjie kanisa lake hapo dar siku hizi mara nyingi yuko mbele huko Korea,Japan,States inaonekana anakubalika huko.Hahahaha
Halaf hivi mbona Gwaji katulia sana shda nn?
HahahahaAisee ngoja nikiokota hela kule kwa dogo ONTARIO nitalinunua nione.
HahahahTangu wamvunjie kanisa lake hapo dar siku hizi mara nyingi yuko mbele huko Korea,Japan,States inaonekana anakubalika huko.
Hahah kwan mkuu kipind kile cha kampeni hukumuonaga mzee wa kazi alipitiaga juu kwenye open roof kwenye lile li V8 mkuu?Hahahah
Ukuta nao watu watakuwa wakirubusiwa waruke bila kukamatwa
Hahah nasubiri kuvuna kwenye FOREX au ntapiga kibarua kwenye lile bomba letu la HOIMA hahahHahaha braza si ucheze biko ?
Hahah kwan mkuu kipind kile cha kampeni hukumuonaga mzee wa kazi alipitiaga juu kwenye open roof kwenye lile li V8 mkuu?
Forex mnadhulumiwa tuu huko hamtoboiHahah nasubiri kuvuna kwenye FOREX au ntapiga kibarua kwenye lile bomba letu la HOIMA hahah
Hahah walikua wanashangilia balaa,na ile siku walikua wanarudisha fom baada ya kuteuliwa wako kwenye pick up wanapunga mikono road ile gari imesimama tu mjomba kasharuka ardhini hahah,mama Samia akawa anashangaa tu hahah.![]()
![]()
![]()
![]()
Huo ulikuwa ushamba tuu
Ukute kuna watu walimshangilia kishenzi yaan
Hahah Ila lazima jamaa atakua na mansion huko mbele mpk upepo utulie.Hahahah
Mwenzio anaenda kupiga hela we uchumi wa Tanzania huu kwa nn usubiri sadaka za bongo ambazo chache
Hahah walikua wanashangilia balaa,na ile siku walikua wanarudisha fom baada ya kuteuliwa wako kwenye pick up wanapunga mikono road ile gari imesimama tu mjomba kasharuka ardhini hahah,mama Samia akawa anashangaa tu hahah.
Hata mimo asee ukipata dili nje niunganishe kuwa mbongo siyo ishuHahah Ila lazima jamaa atakua na mansion huko mbele mpk upepo utulie.
Aisee bro mi mtu akishaanza kupiga mapicha Showroom za ma Range Rover Velar,najua huyo ni kimeo big time.Hahahaha
Halaf kuna jamaa kasema ontario kawapiga sana hela vijana. Mi nilijua tu he was a scam
Ntatest nione.Watakugonga salute tu
Na wewe ulimstukia toka kitambo eeh?Aisee bro mi mtu akishaanza kupiga mapicha Showroom za ma Range Rover Velar,najua huyo ni kimeo big time.
Hahah somo la financial Management yenyewe nilikua silipendi hio fx ndo sijui hata wanachezaje.Forex mnadhulumiwa tuu huko hamtoboi
Hahah mjomba ni special kwa attitudes zake,hahah![]()
![]()
![]()
![]()
Alikuwa weird toka kitambo asee
Hahah Naona Bongo bahati mbayaHata mimo asee ukipata dili nje niunganishe kuwa mbongo siyo ishu
Mkuu naona ushalala,au tukutakie kazi njema kwa ubavu wako hapo hahahKweli kbxa mkuu![]()
Alikamata wakoromije.Na wewe ulimstukia toka kitambo eeh?
HahahahAlikamata wakoromije.