JamiiForums Usiku wa manane
Mzee huyu haishi Majanga siku moja akiwa kariakoo amepiga kazi siku hyo mambo yameenda vzr pochi limenona akasema ngoja niweke hizi hela kwny mpesa ili nisije ibiwa akaznguka ktuoni akaweka pesa mpesa.
Basi ile anarudi akakumbuka kuna demu mkali inabidi amtext Kama yupo free amuone Leo maana demu alimuambia siku ukiwa na pesa unitafute nikupe vtu vzr hujawahi pewa maishan mwako.
Basi akaanza kuchat nae:
Mzee:Mambo mkali wng.
Dada:saf mzma ww npo ?
Mzee:mm npo cool, vp Leo npo vzr upo wap?mm npo kariakoo hpa
Dada:Njoo hapa Shoppers karb na Saloon nakusubiria hapa dakika kumi tu nijibu kama unakuja.!
Mzee😛oa nakuja hpo fast a(kabla hajasend sms) Kibaka kapitia ile simu
Yule Mzee sasa akaanza kumtoa mbio kibaka huku anamwambia "Blaza Bonyeza OK , SEND, SEND HYO TAFADHALI"
 
Back
Top Bottom