mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Hahah hio ni kweli kabisaa mkuu.Hahahaha
Kumbe ni kabla, sasa ukiona comment kama hiyo hata la kufanya unashindwa
Then you are safe, na mimi nimegundua wale ambao hakuna mtu anajua maisha yao ya nje wala jinsi walivo hapa jf ndio anapata raha na anakuwa huru.