mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Wao wenyewe kwa machalii wa chuga wanasema siku hizi wana "vipururu",Lord have mercy hahahAaah
Useja huo tuwaachie mapadre
Wao wenyewe kwa machalii wa chuga wanasema siku hizi wana "vipururu",Lord have mercy hahahAaah
Useja huo tuwaachie mapadre
HahahahHahah kweli kabisaa mkuu humu ni paajabu sana mwingine aliweka mpk vyeti vyake vya UD kapiga ma 1st class,o'level na A'level division 1 akawa anasema yeye anacheza forex kwa sababu inampa mil 3-4 kila wiki sisi wengine ni vilaza tu mara paap mode wakafanya yao jamaa kwa id nyingine alikuwa anaomba ushauri anataka akope mil 2 bank afu aache kazi,hahah
Goodmorning fellaGhafla nimejikuta. Adios amigos. Nipate hata lepe haya masaa mawili. Mkesha mwema!
Daah! Braza kweli yaan hakuna mtu namheshim kama mke wa mtu yaan.Wazee fanyeni yote ndoa ni kitu cha kuheshimu Sana hta kama umeoa pipa au dumu lakn mke au mume ni ktu cha kuthamin kiingiapo na kitokapo
Wapo wa kutosha sana sanaa utaona kitakachotokeaAaah
Sasa ndugu yangu unadhani tutafajya nn hiyo 26/4 ?
Sioni waandamanaji bongo hii
Usiku mwemaGhafla nimejikuta. Adios amigos. Nipate hata lepe haya masaa mawili. Mkesha mwema!
HahahaaKuna yule miss natafuta anaweza akamcheki pia,hahah
Hahah alikua muuza vitanda tu mkuu,ila kwa vijana watafutaji wakapambane kule insta huku .....Hahahahah
Hivi ladyboss alikuwa ni fake?
Halafu kuna wale wadada unadhani ni mkali, ukionana naye unakuwa disappointed.
Ni bora kuwa makini sana. Ila wapo wazuri wengi tuu
HahaahahaHahah vyenye tin no. 1 lkn
Izi Id zenye fujo ni pasua kichwa sioo???Weww jitahidi uzulule majukwaa mbali mbali.
Ila epuka ID zenye fujo fujo
Tafuta mtu alo tulia
Lawd have mercyWao wenyewe kwa machalii wa chuga wanasema siku hizi wana "vipururu",Lord have mercy hahah
Mmmmh!Wapo wa kutosha sana sanaa utaona kitakachotokea
Hahahahhhhh insta kule inabid waende watu wabishi wanaotaka vipururuHahah alikua muuza vitanda tu mkuu,ila kwa vijana watafutaji wakapambane kule insta huku .....



HahahahaHahah kweli kabisaa mkuu humu ni paajabu sana mwingine aliweka mpk vyeti vyake vya UD kapiga ma 1st class,o'level na A'level division 1 akawa anasema yeye anacheza forex kwa sababu inampa mil 3-4 kila wiki sisi wengine ni vilaza tu mara paap mode wakafanya yao jamaa kwa id nyingine alikuwa anaomba ushauri anataka akope mil 2 bank afu aache kazi,hahah
Insta kuna uhalisia zaid eeh? Sasa kwa mimi ambaye insta sipajuiHahah alikua muuza vitanda tu mkuu,ila kwa vijana watafutaji wakapambane kule insta huku .....
GraciasGhafla nimejikuta. Adios amigos. Nipate hata lepe haya masaa mawili. Mkesha mwema!
Kwani mchiz yuko siriazi?kuna mchiz flani humu anapenda ku taggiana na demu wake kila saa,siku 1 nacheki ile thread ya sehemu gani ya hatari uliwahi kufanyia mapenzi nikaona demu ameandika Msibani hahah,humu sio pazuri aisee.Weww jitahidi uzulule majukwaa mbali mbali.
Ila epuka ID zenye fujo fujo
Tafuta mtu alo tulia
YeahIzi Id zenye fujo ni pasua kichwa sioo???

Huyo ana Characteristics gani sio mchele mchele. Nisije nikaweka mtego wa njiwa nikaambulia kunguru.Kuna yule miss natafuta anaweza akamcheki pia,hahah
Mi huwa nahisi bhana kila mtu na bahat yakeHahahahhhhh insta kule inabid waende watu wabishi wanaotaka vipururu![]()