JamiiForums Usiku wa manane
Daah Mungu aliwasaidia aisee,kuna washkaji zangu kazi zao ni kutafuta videmu vya chuo huko fb&insta wanavitumia open ticket ya ndege kama viko huko mkoani wanavichapa nao then muda wa kurudi kwao vinapandishwa bus.,hahah

Daaah! Halafu unakuta hao ndio madem zetu eti.
Anakwambia weekend hii niko busy. Kumbe kapanda ndege kwend kuliwa
Sina hamu
 
Tupo wote kule mm huku nlikuw napita tu njia nkakutana na iceman 3D ikabid tuanzshe kijiwe hpa mara Leo akatokea whitehorse bas maisha yanaendelea. Tatzo la kule sku siasa sio tamu sanaaaa mpk uh najkuta bored bhan.
Hio ni kweli mkuu,mi kwa kukesha ndio mwenyewe ile iceman te hua ni kiboko, ntakua nawachek pande hizi kama mnakuwepo around wazee.
 
Hahah Mkuu unajua Mbowe ana miaka 56 na le mutuz anasemaga mbowe ni rafiki yake wa utotoni.

Sasa kumuweka uchi mzee ka lemutuz,Mungu anamuona aisee,hahah

Jamaa maisha yake nadhani yaliharibika US hawez kuwa sawa kichwani yule
 
Tupo wote kule mm huku nlikuw napita tu njia nkakutana na iceman 3D ikabid tuanzshe kijiwe hpa mara Leo akatokea whitehorse bas maisha yanaendelea. Tatzo la kule sku siasa sio tamu sanaaaa mpk uh najkuta bored bhan.
Mimi kipindi najiunga jf nilikuwa naoebda siasa. Ila utawala wa huyu baba umenifanya nichukie hata kuziona zikijadiliwa tuu
 
Mimi huwa nyuzi nazikosa hizo hahahah
Napenda sana sku ni shuhudie
Ila kuna sista wali wahi mchanaga hapa kuwa anamponda jamaa kuwa mshamba ila waungwana waka mwambia jamaa alisha mlla yey na refiki zake, mara yeye ana jiuza, wakataja hadi chuo anachosoma wacha sista aombe uzi ufutwe
Hahah hio sikuipata mkuu ndo mana napendaga ku keep profile tu,humu kuna wajuvi wanajua kuumbua wenzao hatari,kuna yule mchizi ye alikuwaga anaomba elfu 20 huko PM(kwa washkaji+kwa mademu) afu harudishi aisee watu waliamshiana humu mpk alipigwa ban ya maisha nadhani
 
Hio ni kweli mkuu,mi kwa kukesha ndio mwenyewe ile iceman te hua ni kiboko, ntakua nawachek pande hizi kama mnakuwepo around wazee.
Karibu sanaaa
Mi huwa nakuwepi at least sku 5 kati ya 7 za wiki ni mara chache kukosa.
Yaan leo yenyewe nilipanga nilale saa saba sjui
Ila uzi umekuwa mzuri kishenzi yaan mpaka now nipo
 
Hao ndio wazuri hao full kudanganyana tu akisema peoplesssss wew unasema powerrrrrrrrr
Hahahaha
Sasa ubaya wa kule ndio unaeza kuta mtu ana sema people kumbe ndio wasiojulikana wanatumika kama ulimbo tu na nnavo penda kumponda Magu wata niteka buree
 
Hahah hio sikuipata mkuu ndo mana napendaga ku keep profile tu,humu kuna wajuvi wanajua kuumbua wenzao hatari,kuna yule mchizi ye alikuwaga anaomba elfu 20 huko PM(kwa washkaji+kwa mademu) afu harudishi aisee watu waliamshiana humu mpk alipigwa ban ya maisha nadhani
Ogopa sana humu siyo mahali pazuri
 
Daaah! Halafu unakuta hao ndio madem zetu eti.
Anakwambia weekend hii niko busy. Kumbe kapanda ndege kwend kuliwa
Sina hamu
Hahah aisee navioneaga huruma afu bado ni vi teen 18-22 still vina long way to go.

Ila najua wanafanyiwa yote hayo sababu ya kupenda mambo makubwa,vinataka zile picha za PRAY FOR ME@ AIRPORT,mara kamepiga picha kwenye ndege hahah.
 
Yeah
Mimi ndio maana napenda matured women. Siyo watoto sana hao.hawajielewi
 
Kuna sista mmoja nilikuwa namkubali sana ila alikuwa anapenda mno kushinda siasani anajua siasa mnoo.
Aaah nikaihirisha asee. Wanawake wajuajo mi siwapendi
Ahah hawana tofauti na kuwa na demu Mwanasheria cha moto utakipata aisee.
 
Ahah hawana tofauti na kuwa na demu Mwanasheria cha moto utakipata aisee.
Daaah! We jama unakuwaga on point kinyama yaan

Demu mwana sheria, Dokta
Wanajifanyaga wajuzi hadi ni ngumu kuishi nao wabishiiiio
 
Jamani wakubwaa
Alfajiri njema ngoja nichukue majembe yangu nielekee shamba sasa
 
Back
Top Bottom