JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna mmoja wetu kalewa

Either ni sisi wananchi au vingozi wetu. Maana yanao endele nchi hii ni vitukoo
Ukivuta Bangii kidogo / ukibywa pombe. Ukiwa sober utaelewa.
 
Njombe nilikuwepo mwaka jana. Ilikuwa mwezi wa saba. Cha kushangaza madogo kule wanatembea peku na kula barafu!!!! Nyanda za juu June, July na August sio kwa kawaida.
Hahahaha
Wenyewe wamezoea unaeza kuta wanakwambia baridi ilikuwa mwezi ulio pita hivi sasa afadhali [emoji23]
Sasa wewe ukiangalia hiyo afadhali hata huioni
 
Mkuu humu ni noma sana kuna dada alikuaga anajiita ladyboss sijui nini kama wakina zari vile mara paaap id ikaunganishwa alikua anauza kitanda anatafuta mteja hahah,ndo mambo ya humu ndg yangu.
Hahahahhhhh nmcheka kwa saut xna mpk nahs watu watajua naota kumbe npo mkeshani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mnh. Kwa hiyo wake wa watu wengine fair game?! Tumesema ndoa ziachwe ukasema tutatubu. Tuendelee kumsaidia mkuu na huyo Mumu!!!
Aaaah
Mkuu mimi sewezi kumfanyia hivo shemeji
Ingekuwa hainiathiri moja kwa moja ningemsaidia
Halaf nimetafakari ushauri wako ni bora tu iheshimu ndoa tu.
 
Hahahahhhhh nmcheka kwa saut xna mpk nahs watu watajua naota kumbe npo mkeshani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah kweli kabisaa mkuu humu ni paajabu sana mwingine aliweka mpk vyeti vyake vya UD kapiga ma 1st class,o'level na A'level division 1 akawa anasema yeye anacheza forex kwa sababu inampa mil 3-4 kila wiki sisi wengine ni vilaza tu mara paap mode wakafanya yao jamaa kwa id nyingine alikuwa anaomba ushauri anataka akope mil 2 bank afu aache kazi,hahah
 
Mkuu humu ni noma sana kuna dada alikuaga anajiita ladyboss sijui nini kama wakina zari vile mara paaap id ikaunganishwa alikua anauza kitanda anatafuta mteja hahah,ndo mambo ya humu ndg yangu.
Hahahahah
Hivi ladyboss alikuwa ni fake?
Halafu kuna wale wadada unadhani ni mkali, ukionana naye unakuwa disappointed.
Ni bora kuwa makini sana. Ila wapo wazuri wengi tuu
 
Ghafla nimejikuta [emoji45][emoji45][emoji45]. Adios amigos. Nipate hata lepe haya masaa mawili. Mkesha mwema!
 
Hahah kweli kabisaa mkuu humu ni paajabu sana mwingine aliweka mpk vyeti vyake vya UD kapiga ma 1st class,o'level na A'level division 1 akawa anasema yeye anacheza forex kwa sababu inampa mil 3-4 kila wiki sisi wengine ni vilaza tu mara paap mode wakafanya yao jamaa kwa id nyingine alikuwa anaomba ushauri anataka akope mil 2 bank afu aache kazi,hahah
Hii kama nliwah kuipata hv[emoji16]
 
Back
Top Bottom