JamiiForums Usiku wa manane
Hahahaha
Hivi Rais wetu hana kazi kabsaa maana mi sha waja wahi ona mambo anayo yafanya.
Ana angalia Mazoezi ya polisi ili iweje sasa?
Hahah wamesema kuna mazoezi ya namna ya kupambana na ugaidi,kuzuia maandamano na mengineyo mkuu(na ni serious mkuu)
 
Back
Top Bottom