JamiiForums Usiku wa manane
Hahah nahis mkuu,ila kuna mchiz kitaa alikuaga mtaalamu wa kupasua matofali ila akawa anagongewa mkewe na wahuni sijui shida ilikuwa ni nini
Kaka wanawake bhana huwa hawaridhiki
Aliye olewa na maskini ana cheat na mwenye pesa
Aliye olewa na mwenye pesa ana cheat na garden boy

Mi hadi leo sja fanikiwa kuwaelewa wanawake
 
Kaka wanawake bhana huwa hawaridhiki
Aliye olewa na maskini ana cheat na mwenye pesa
Aliye olewa na mwenye pesa ana cheat na garden boy

Mi hadi leo sja fanikiwa kuwaelewa wanawake
Sasa dawa ni nini mkuu?Kuwa waseja tu au?
 
Kukosa kazi ni kazi ndo maana kageuga mzinduzi wa zilipendwa,nahisi naye yuko macho si bado kumi na kenda

Jamaa sio hana kazi ni mvivu tuu
Rais utakosaje kazi.
Mambo ya kuzindua hayo ni makamu wa Rais.
Aende nje akasafishe macho sasa
 
Back
Top Bottom