JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mazee kama ilivyokuwa uzinduzi wa bombardia mzee alisema watu wapande ndani ya ndege bure wapige picha.

Sijui kesho wkt wa kuzindua Ukuta Kule Mererani atawaambia wananchi wafanyeje?

Naota tu lkn wakuu
Picha itatoka vizuri kama watapanda ukuta mpya [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Hahahahaa
Hamna huu uzi naupenda tuu so hata kama nasinzia huwa najikaza
Hahah aisee mkuu kama unajikazaga kulala muda wote huu kwenye ile kozi ya ukomandoo utakua umebakiza lile zoezi la kupigwa ubao mgongoni tu then ugraduate tu,hahah
 
Back
Top Bottom