JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahah aisee mkuu kama unajikazaga kulala muda wote huu kwenye ile kozi ya ukomandoo utakua umebakiza lile zoezi la kupigwa ubao mgongoni tu then ugraduate tu,hahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi hapa ni sawa na home kwa hiyo sina shda.

Hivi makomandoo wanakuwaga na kozi za za kuvunja matofali kama wale jama wa sherehe za uhuru?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi hapa ni sawa na home kwa hiyo sina shda.

Hivi makomandoo wanakuwaga na kozi za za kuvunja matofali kama wale jama wa sherehe za uhuru?
Hahah nahis mkuu,ila kuna mchiz kitaa alikuaga mtaalamu wa kupasua matofali ila akawa anagongewa mkewe na wahuni sijui shida ilikuwa ni nini
 
Oooh tayar yupo kwny ratba Mzee baba front kama kawa[emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu huyu mzee hakai ofisini, nje haendi kwa hiyo anabaki anazulula zulula tuu.
We Rais gani mara azindue mgari, mara azindue tawi la benki

Ana nchsha kweli mzee baba
 
Mmmh au huu Uzi ulishawahi kukupa tamtam nn? maana sio kwa mawindo hya!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kulikuaga na manzi m1 hivi hapo zamani kidogo alikuaga nae bize sana na Iceman kwenye huu uzi sijui aliishia wapi
 
Back
Top Bottom