JamiiForums Usiku wa manane
Nakuamini sana mkuu we ni mmoja wa waasisi wa huu uzi yaani ni mtu muhimu sana.
Ahsante kwa kuniamini
Na mimi huwa nakuamini, najua haya mambo ni kupokezana, ntafanya hadi nnapo weza na watakuja wengine they will do more, huu uzi ni endelevu. Huwa nakuita Nyerere wa uzi .

Huwa nawashukuru woote wanao pita hapa kuchangia, they are realy nice people.
 
Back
Top Bottom