jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Tupooo
Ninyi watu mpo
Ninyi watu mpo
Thad alikuja kutuaga na HB akamsindikiza sasa sijui nini kilitokea huko
Mzima weweTupooo
Tupo mzima wewe?Ninyi watu mpo
Yaan umeniichekesha kama wale wanaume wasiojua mapenzi, ukitaka kumwambia watu hushukuru baada ya kufanyiwa kitu husema haya basi, jifunze kunyenyekea na kuwa tu mpole mkuu. Sema tu HODI na sio haya basi hodiHaya basi hodi
Wowote tuuUpi tena ney
HODIYaan umeniichekesha kama wale wanaume wasiojua mapenzi, ukitaka kumwambia watu hushukuru baada ya kufanyiwa kitu husema haya basi, jifunze kunyenyekea na kuwa tu mpole mkuu. Sema tu HODI na sio haya basi hodi
Ila karibu tu inawezekana ndo ulivyo
Teh tej
Ok at least una mwangaThad alikuja kutuaga na HB akamsindikiza sasa sijui nini kilitokea huko
Last king of uscochWowote tuu
Mzima wewe
Huo ndio unyenyekevuHODI

Ngoja tutaonaOk at least una mwanga
Yetu majicho
HODI
HODI
Okey, karibu sana rafiki.Last king of uscoch
Mtanzania
Raia wa kawaida
20+years
Asante sana mkuu,mida ya popo ni kuanzia saa ngapi na bundi saa ngapiHapo umekaribishwa, unajua huku hakuna kuwa na hasira na lolote, nilitaka kutest hasira zako ili niwe makini na wewe. Uko vzr mkuu big up
Karibu sana lindoni. Unaweza kuwa popo au bundi. Kuna masaa ya popo na ya bundi
Asante sana neyOkey, karibu sana rafiki.
Mi mzimaTupo mzima wewe?