The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Jana na leo
Ongezea kesho, keshokutwa na mtondogoo kabisa ili tuokoe bando
Jana na leo
nishakaribia mkuuKaribuni lindoni mkuu
Tutazungumza vizuri kwa bed usikawie lov natangulia.![]()
Sasa akifanya hivyo si hatakuja kwa hizo siku hadi zipite!!Ongezea kesho, keshokutwa na mtondogoo kabisa ili tuokoe bando
Shem japo naona nimfate la aziz nisije kitia mchanga kitumbuaSina usemi bana.
Nami pia nimekuhamu sana, uhali gani?
Sasa akifanya hivyo si hatakuja kwa hizo siku hadi zipite!!
Sawa, majukumu kama kawaida, kila mtu ajikite kwenye duty yakenishakaribia mkuu
Haaa kwani ukiwa kwa bed huzungumzagi?Kwenye bed tena kuna kuzungumza hapo? Unaremba sana
Sawa usijaliBomba sana
Shem japo naona nimfate la aziz nisije kitia mchanga kitumbua
Bomba sana
Shem japo naona nimfate la aziz nisije kitia mchanga kitumbua
Haaa kwani ukiwa kwa bed huzungumzagi?
Sisi mipango yetu 80% hufanyikia kitandani
MmmmhhhHapana mkuu. Hapo anaitika tu kuonyesha atahudhuria in advance
Mmmmhhh
Hapo utampa advantage ya kususia bana maana atakuwa ashajua rollcall ishapita kwa hiyo hata shtuka
Sijamtuia machoni toka jana sijui kapatwa na ninihahahaaah @icema 3D yuko wapi
Hiyo itakuwa extra time kwake na kuelekeza nguvu kwenye mambo mengine ndio maana nasema itakuwa advantageNgoja kwanza. Kwani na yeye anamtu wa kupanga nae mikakati kitandani?
How? Sisi mipango yote nikesema, tuache utani nasema ukweli.Hahahaaa hata mie mipango ya muda mfupi yote inamalizikia kitandani.
Mfupi
How? Sisi mipango yote nikesema, tuache utani nasema ukweli.
Hata yale ya kununua kiwanja ni kitandani. Hatjawaza kungonoka bhana acha hizo mkuu
[QUOTE="Samar