The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,320
- 103,548
Kumbe unajua kua team imefika final 3 mfululizo halafu unasema haina lolote?! Okay team yenye lolote ni ipi kwani?Historia huwa haimkumbuki alo fika finali
Inamkumbuka bingwa tuu.
Tim gani mnafungwa finali tatu mfulilzo wenyewe tuu!
Hapana ni mportugalMmoroco 😀😀
Kufika finali is not an achievement if you dont win it.Kumbe unajua kua team imefika final 3 mfululizo halafu unasema haina lolote?! Okay team yenye lolote ni ipi kwani?
Mkuu ID yako inanikumbusha song la Bob I SHOT THE SHERIFF.Kwani mnaongelea nini? Mi ndio nimetoka zangu hapa c park kucheza zilipendwa, nakutana na popozii humu jf.
Mna mada gan tuiendelezeMkuu ID yako inanikumbusha song la Bob I SHOT THE SHERIFF.
Gud mkuu lete manenoNiaje hum
Team yenye hilo lolote ni ipi? Ni ipi team ambayo huchukua kila makombe inayoshiriki?!Kufika finali is not an achievement if you dont win it.
You just a loser like others. Esoecially kufungwa finali kila mwaka nayo ni shda
Brazil alo chukua confed 2013 ni bora kulikp nyie mlo shiriki finale za makombe ma tatu. Waste of energyTeam yenye hilo lolote ni ipi? Ni ipi team ambayo huchukua kila makombe inayoshiriki?!
Unaizungumzia hii Brazil iliyopigwa goli 7 na German au Brazil ipi?Brazil alo chukua confed 2013 ni bora kulikp nyie mlo shiriki finale za makombe ma tatu. Waste of energy
EeehUnaizungumzia hii Brazil iliyopigwa goli 7 na German au Brazil ipi?
Japo brazil imefungwa 7 ila ndio ina vikombe vya dunia vingi kuliko timu yoyote ya taifa dunianUnaizungumzia hii Brazil iliyopigwa goli 7 na German au Brazil ipi?
Gud mkuu lete maneno
aisee hapa napekua pekua 2 humu ucngz umetoka nduki ndio mida yetuFresh naona popo znaamka