Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Haya napataje shemeji?Hamna
Ni pesa directly bila kodi
Haya napataje shemeji?Hamna
Ni pesa directly bila kodi
Hahaha kikosi cha ubingwa hichoAnhaaa
Nadhani utakuwepi timu shindwa
Tunapanga sehem ya kukutana ili uipate.Haya napataje shemeji?
Pamoja kiongozi kwa mafundi Wa muda woteHongera kwa kushabikia national team inayojielewa.
HahahahHahaha kikosi cha ubingwa hicho
Unaona vizuri hadi sasa hatujajua anatokea sayari gani huyu kiumbe.Hahahah
Hamtafika kokote braza
Wewe ni team messi eeh?

HiiiiHongera kwa kushabikia national team inayojielewa.
Nawe inabidi uongeze iwe Icebradhamtu chake ninahisi majina yenye "ice" yana kitu cha ziada
Mimi ni Cr7 for life aseeUnaona vizuri hadi sasa hatujajua anatokea sayari gani huyu kiumbe.
Magic Magnificent naomba uendelee kumuelezea![]()
![]()
![]()
![]()
Enzi za kina maradona ilikuwa motoArgentina ni moto toka enzi za kina Maradona,Claudio cannigia,Bastituta na wengineo..Messi wa juzi tu hapa.
Haya atazifata akaka akoTunapanga sehem ya kukutana ili uipate.
Aaa au njoo kwangu
Hamna mchezaji hapo ungenitajia hata asensio kidogoMimi ni Cr7 for life asee
Pesa si za kutumia wewe?Haya atazifata akaka ako
Hamna lolote?! U can't be serious,Enzi za kina maradona ilikuwa moto
Ila sku hizi hamna llte
5x ballon d or winnerHamna mchezaji hapo ungenitajia hata asensio kidogo
Historia huwa haimkumbuki alo fika finaliHamna lolote?! U can't be serious,
Si juzi tu hapa wamefungwa 1-0 kwenye wc final? Wakacheza final ya Copa pia? Hizo final hua wanafikaje kama hawana lolote?