Myfancyface
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 948
- 900
Tunakesha Kwa kujifunza nini,, maana nadhani kila Jambo ni darasaDhumuni n kukesha
Ova....
Unajuaje??? Labda chama moja na mshana!?

ukinitajia huyo jamaa mshana na mwingine mzizi mkavu huwa apetite inapotea yani mambo yao kama waganga aiseeeNakusapoti tu. Ney arudi. Au hupendi?!Kwann!?
Hongera. Wish ungenimegea hata kidogo.Jamani muwe na usiku mwema, naona macho yangu yameanza kupoteza ushirikiano...
ukinitajia huyo jamaa mshana na mwingine mzizi mkavu huwa apetite inapotea yani mambo yao kama waganga aiseee
mshanaaaaaaAsanteePoleeee
Asante kaka. Naona mkeo hataki hata kusalimia wifi eeh. Haya, mie naenda sasa. Tukutanw kesho Mungu akipendaPole
Mzee Baba swali lako hili lishanipa usingizi byebyeTunakesha Kwa kujifunza nini,, maana nadhani kila Jambo ni darasa
Karibu
kufanya matambiko na vikao makaburiniTunakesha Kwa kujifunza nini,, maana nadhani kila Jambo ni darasa
Karibu
Hahahaaa hapana usisinzie mkuu tunatakiwa tukeshe kwa faida na mda huu ni wa wakubwa inatakiwa angalau tuwe tunabadilisha ideas hata za chombezo za mapenzi tukumbushane namna gani ya kuridhishana unapokuwa na mwenza ingependeza sana tukitumia kipindi hiki kuondoana tongotongoMzee Baba swali lako hili lishanipa usingizi byebye
Mshana na Mzizi sio wa kawaida. Taswira ninayoipata kuhusu hawa watuukinitajia huyo jamaa mshana na mwingine mzizi mkavu huwa apetite inapotea yani mambo yao kama waganga aiseee

Usinune please. Basi Ney aende.
Duh Kwa hiyo hiki kipindi ni kwaajili ya wachawi na wanga?kufanya matambiko na vikao makaburini
unakaribishwa mkuuDuh Kwa hiyo hiki kipindi ni kwaajili ya wachawi na wanga?