Myfancyface
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 948
- 900
Njema. Ndio unaamka!?Jamani habaru ya asubuhi
Njema. Ndio unaamka!?Jamani habaru ya asubuhi
HahahaNjema. Ndio unaamka!?
Sioni hata dalili. Sijui ndio mpaka asbh?!Hahaha
Mimi ndio kumekucha

Vitu gani?!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Suironi nile vitu vyangu kwanza vikikolea narudi![]()
![]()
![]()
HahahaSioni hata dalili. Sijui ndio mpaka asbh?!![]()
![]()
![]()
Hongera.Hahaha
Hamna hapa sikeshi
Kesho nadhani ndio ntaripot mapeemaa
Hey big popo
Kwa kweli nimekumissMamboz, ulifichwamo na nani?
Mm pia Shem, kesho natinga kwa nguvu zote, Leo mkuu Nyagei kaniita nikasema nisiwe mchoyo kusalimu tuKwa kweli nimekumiss
Mawani usije kuta ndo balimi mkuuNgoja nikachukue miwani yangu kwanza nitarudi...
Thats greatMm pia Shem, kesho natinga kwa nguvu zote, Leo mkuu Nyagei kaniita nikasema nisiwe mchoyo kusalimu tu
Kumbe hii no nnyu kapo isiyojulikana eeeeusije hata jaribu kabisa....haya tukalale ss mamii,
Thats great
Hakuna shida
Ulale salama
Hiyo ni rasmi mbonaaKumbe hii no nnyu kapo isiyojulikana eeee
Hiyo ni rasmi mbonaa
Bas hujaja kitambo
Mambo ni fireeeMambo ni motoooo
Nina week tu jaman hats haijaisha vzr
Uwiii nitaweka PA wa JF awe ananichukulia minutesMambo ni fireee
Hahahaha! Hiyo hyo wiki imetosha kabsa habari kukupita
HahahahUwiii nitaweka PA wa JF awe ananichukulia minutes