Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
babe na ww unakunywaga iyo?Mmhh
babe na ww unakunywaga iyo?Mmhh
Ndio,amepumzikaMzima Wa afya. Baba chanja na Leo umemfungia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseeee yaani ukiwa peke ako kitandani unahisi kama umelala uwanja wa Taifa.
[emoji20][emoji20][emoji20]angalia chin ya uvungu wako kuna fuvu la binadamu nmekutumia litakulinda ucku
Unajuaje??? Labda chama moja na mshana!?Shauri yako wachawi watapiga mzigo free bora mm nayejitolea kukupa kampani
Yeuuuwiiii shindwaaaaaa kabisaa weee unataka niweweseke kama mbuzi eeh[emoji57]angalia chin ya uvungu wako kuna fuvu la binadamu nmekutumia litakulinda ucku
Arudi Ney. [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hatujambo,unaenda wapi Ney?
Salama, nimekuMiss mm....za kupoteaa?Njema kaka,habari ya wewe?
Hata kwa hela sinywi mume wangu,babe na ww unakunywaga iyo?
Hey big popoPopoz salama?
KK kipenzi uko wapi
Kwann!?Arudi Ney. [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kaka nashukuru,hata mie nawamiss sana sana jamani. Uchovu unapitilizaga muda mwingineSalama, nimekuMiss mm....za kupoteaa?
[emoji9] usije hata jaribu kabisa....haya tukalale ss mamii,Hata kwa hela sinywi mume wangu,
PoleKaka nashukuru,hata mie nawamiss sana sana jamani. Uchovu unapitilizaga muda mwingine
PoleeeeKaka nashukuru,hata mie nawamiss sana sana jamani. Uchovu unapitilizaga muda mwingine
Dhumuni n kukeshaNaomba kuuliza nini dhumuni la ukurasa huu tafadhali naomba ufafanuzi Mwenye kujua na kuelewa
NAWSILISHA KWENU
Twen'zetu my chubby tukajidai usiku huu,..tuwaache nyonya damu wanyonyane vzr wasitutishe siee..[emoji1] [emoji1][emoji9] usije hata jaribu kabisa....haya tukalale ss mamii,