Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
hahahaAiseeee yaani ukiwa peke ako kitandani unahisi kama umelala uwanja wa Taifa.
hahahaAiseeee yaani ukiwa peke ako kitandani unahisi kama umelala uwanja wa Taifa.
[emoji23]Kwa jibu hili kweli kichwa kimevurugwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JikoniNauliza tu mnaokesha mnakesha kutokea wapi... Mfano mimi Chumbani kwangu
Pole sana aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseeee yaani ukiwa peke ako kitandani unahisi kama umelala uwanja wa Taifa.
Habari dadaChumbani ndio
[emoji23][emoji28][emoji23]Juu ya mti [emoji23] [emoji23]
Mkuu ulizoea kulala Mia Mia mtoto mzuri kakukimbia[emoji23]Aiseeee yaani ukiwa peke ako kitandani unahisi kama umelala uwanja wa Taifa.
HahahaaAiseeee yaani ukiwa peke ako kitandani unahisi kama umelala uwanja wa Taifa.
Jambo sana mambo MremboHamjambo wote?
Napita tuu [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hatujambo,unaenda wapi Ney?Hamjambo wote?
Napita tuu [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kwa nini uwanja wa taifa? Ufafanuzi tafadhali kama hautojali.Aiseeee yaani ukiwa peke ako kitandani unahisi kama umelala uwanja wa Taifa.
Mmhhkaribuni kunywa damu za binadamu ni nzur kwa afya
angalia chin ya uvungu wako kuna fuvu la binadamu nmekutumia litakulinda uckuMmhh
Bado tupo. [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]Usiku mwema popo na bundi nilipita kutoa salam
Njema kaka,habari ya wewe?Habari dada