Polee kwa upwekePopoz salama?
KK kipenzi uko wapi
Hujalala? Ndoa imepeperuka Chelsea na Barcelona watoka sare.Wanaume naona mpira umenoga mfyuuu
Polee kwa upweke
Nashukuru maana ningeolewa na mwanaume nisiyemlendaa kazi kweli kweliHujalala? Ndoa imepeperuka Chelsea na Barcelona watoka sare.
Popo hamna ngoja mm nijifunike blanket nilaleAsante darln
Hakulaliki mkuuLaleni
MwifwaMwifa
Juzi na leoWalinzi wenzangu mpo? Nataka kuitisha "rokoo"
Sasa mkuu uwe unaangalia kwanza kabla ya kufunga gate, umenifungia nilikua bado sijaingiaNimefunga gate.
Na Mimi nishachukua rokooNimefunga gate.