Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,824
take it babe...niongoze njiaaAhsante Darling Wangu,.nipe mkono twende wote.,
take it babe...niongoze njiaaAhsante Darling Wangu,.nipe mkono twende wote.,
Haitakaa itokee..Mbwa anaweza kumng'ata mkeo mkuu
Nikumbatie taratibu shem, si unajua mimi nakula na kupuliza kote kote kwa jje's na carba...Hahahaha kwanza kabisa acha nifanye kumbato kWako kwa kukumiss kusikokua na kipimo

Ok poa, msalimie mkeoHaitakaa itokee..
Asanteh Sam, ni upendo tuu hakuna kingine.Pole sana. Kuna watu mmejaliwa mioyo miwili mnao na wa spea. Sie wenye mmoja uvumilivu haufikiii hicho kiwango. Umebarikiwa
Huku barida kabisa. Namuona Mumu kwa mbali bossSafi chief, zinaendaa vipi wewe huko
Kama wampenda hivyo basi achaga kufatilia nyendo zake, huoni jje's anavyomfaidi KKAsanteh kwa ushauri Dear,
But Iceman 3D ni roho yangu ujue, what I want from him ni anieleze ukweli. Japokuwa ukweli unauma ila bora ukweli unaouma kuliko uongo unaofurahisha.
Mhhhhh sidhaniSiwezi kufurahia anguko lako hata, bali nakushangaa maana kilichokununisha nakijua fika.
Hivi ule wimbo wa wewe una wako nyumbani, nami nina wangu nyumbani uliimbwa na nani vile?
Nataka upewe Somo LA kujibu swali LA kwanza hadi mwisho hapoUnayempenda kiagape agape ni yupi kati ya jje na carba
(sema taratibu wasisikie)![]()
TulivuLeo kimya
Utawafungulia wengine,.mm nna shop yangu nyumbaniKakataa.
Itabidi nifungue genge dogo mitaa yenu.

Zimefika chiefOk poa, msalimie mkeo
Au tuvunje record ya ile hug ya dunia iliyochukua siku mbili.(48HRS)Nikumbatie taratibu shem, si unajua mimi nakula na kupuliza kote kote kwa jje's na carba...![]()
![]()
![]()
Ina maana kwa mara ya kwanza macho,masikio na hisia zangu vimenidanganya?Mhhhhh sidhani
Hujajua kilichonikwaza