JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mnanichanganya bwana.....
1.Mr Miller uko na mumu au Mzigua 90?
2. Iceman 3D uko na Neybright au Dina?
3.Ney uko na Iceman au Joseverest?
4.Kichwa Kichafu unampenda jje's au carba.....?
5.Maserati uko na Manga ML au na Spade 4 spade?
6.Demiss umeshaachana na HB wa Kigogo baada ya kumpata Jr au uko nao wote?
7. Inna umeamua kurudiana na Ivunga na kumwacha dingimtoto au ni vip?

Nipeni majibu maana nachanganyikiwa sijui nani shemeji wala wifi humu
@jje's ukuje huku kwanza mpe Somo LA Upendo Wa Agape kabla sijaendelea.
 
Ney kamatia fursa hiyo....achana na yule born town
(simaanishi kuwa wewe na Samaritan ni maborn village, la hasha!)[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Asanteh kwa ushauri Dear,

But Iceman 3D ni roho yangu ujue, what I want from him ni anieleze ukweli. Japokuwa ukweli unauma ila bora ukweli unaouma kuliko uongo unaofurahisha.
 
Back
Top Bottom