Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Tena, akuuhnjoo kwa mwaaliimu Ney,
Embu mpe maujanja mwenzio
Tena, akuuhnjoo kwa mwaaliimu Ney,
Watch out SamaritanHata mie sitaki maelezo, jambo moja tu nataka kusikia kwako. Ina maana sasa hivi uko available?


Kathias whhhyyyAkirudi poa,
Ili mradi asipokuwepo niwepo kama mbadala.

Nimekukuta unamwelekeza Samaritan aende kwa Ney mwl.wa kumfundisha mibebishano (mpaka nikasema ngoja nikae chonjo akifuzu tu nimdake awe ananibebisha mimi)kivipi Thad![]()

Acha kabisa mydearTabu ni pale mwl.anapokuwa mwanafunzi![]()
![]()
mapenzi bwana hayana fomula eti
Naijali family yenu.Kathias whhhyyy![]()
![]()
Watch out Samaritan![]()
Hapana sipo availableHata mie sitaki maelezo, jambo moja tu nataka kusikia kwako. Ina maana sasa hivi uko available?
Mwambie maneno haya hubby wetuNaijali family yenu.
hahahaNimekukuta unamwelekeza Samaritan aende kwa Ney mwl.wa kumfundisha mibebishano (mpaka nikasema ngoja nikae chonjo akifuzu tu nimdake awe ananibebisha mimi)
Lol kufika mbele nakuta Ney anamwomba Samaritan guide manual ya mapenzi![]()
![]()
![]()
![]()



Weraaa weraaa weraaa..... Kusema kweli mimi sijasikia chochote hapa (huyu 3D nitampata wapi nimpe mawili matatu jamani)Hata mie sitaki maelezo, jambo moja tu nataka kusikia kwako. Ina maana sasa hivi uko available?

Huyo mwanafunzi wangu, hamna neno kabisa
maujanja nayotoa wapi mm ss mwaalimuTena, akuuh
Embu mpe maujanja mwenzio
Weraaa weraaa weraaa..... Kusema kweli mimi sijasikia chochote hapa (huyu 3D nitampata wapi nimpe mawili matatu jamani)![]()
![]()
Akikubali na wewe umekubali?Mwambie maneno haya hubby wetu
Wacha wee....Usijali, mie ndio kocha tokea Brazil
NdiyoooAkikubali na wewe umekubali?
Hapana sipo available
Haniiiihahaha![]()
Poa ngoja nimuombeNdiyooo