JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Pole asee
Yaan badala ya kusikitika ilibid nicheke
Sema braza pengo lako hapa lilikuwa ni kubwa kuziba
Hapo ndio nlisikita
Hahahaha ulijua Dada Yule amekuwa mods sasa ameamua ku-revenge kwa kubiga BAN [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nilimiss Sana kuwa humu kiutani utani ban ikanihusu
 
Back
Top Bottom