Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Halaf we Thad mambo yako siyo ishu wala nn.Kwani wewe huoni hizi mvua zinazoendelea kunyesha nchini? Tuko busy tunapanda...tutavuna baada ya miezi 9![]()
![]()
![]()

Watu wa humu siwaelewi kwa kweli ila nikisemaga naonekana mchochezi....

Watu wa humu siwaelewi kwa kweli ila nikisemaga naonekana mchochezi....![]()
![]()
![]()
Halaf we Thad mambo yako siyo ishu wala nn.
Huwa una niacha solemba kwenye nyzi zengine huko![]()
kivipi tena best? Mbona huko solemba sipajui na sijawahi kufika?Tupo, kwani vipi?Mpo humu ndani?
Kwanini?![]()
![]()
![]()
![]()
We mwache nta mtek care mwenyewe
Come on braza!!! Acha kunifanyia mambo mambo hivi![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe si uko na mtanga yule bro
Nimeuliza tu,kwani na wewe vipi?Tupo, kwani vipi?
Mnanichanganya bwana.....Watu wa humu siwaelewi kwa kweli ila nikisemaga naonekana mchochezi....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hebu fafanua
Come on braza!!! Acha kunifanyia mambo mambo hivi
Tupo, karibu mpaka ndani. Jisikie uko nyumbaniMpo humu ndani?
Na wewe uje kwanguMnanichanganya bwana.....
1.Mr Miller uko na mumu au Mzigua 90?
2. Iceman 3D uko na Neybright au Dina?
3.Ney uko na Iceman au Joseverest?
4.Kichwa Kichafu unampenda jje's au carba.....?
5.Maserati uko na Manga ML au na Spade 4 spade?
6.Demiss umeshaachana na HB wa Kigogo baada ya kumpata Jr au uko nao wote?
7. Inna umeamua kurudiana na Ivunga na kumwacha dingimtoto au ni vip?
Nipeni majibu maana nachanganyikiwa sijui nani shemeji wala wifi humu
Kwako wapi?Na wewe uje kwangu
1. Miller hayuko na mumu ana baki na mziguaMnanichanganya bwana.....
1.Mr Miller uko na mumu au Mzigua 90?
2. Iceman 3D uko na Neybright au Dina?
3.Ney uko na Iceman au Joseverest?
4.Kichwa Kichafu unampenda jje's au carba.....?
5.Maserati uko na Manga ML au na Spade 4 spade?
6.Demiss umeshaachana na HB wa Kigogo baada ya kumpata Jr au uko nao wote?
7. Inna umeamua kurudiana na Ivunga na kumwacha dingimtoto au ni vip?
Nipeni majibu maana nachanganyikiwa sijui nani shemeji wala wifi humu
mimi ni shemeji yako ThadMnanichanganya bwana.....