Hiyo kesi naiachia jamhuri, kama wataiendeleza sawa,wakiiacha pia sawa ila mimi nimeachana nayo maana nahisi kuna watu hapa washashikwa mkono na mtuhumiwa ndio maana inasuasua. Hii kesi ntawashtakia wahengacarbamazepine , Kichwa Kichafu. , Iceman 3D naomba mje mfute hii kesi haraka, sitadai fidia yeyote. Naomba Maserati aarifiwe kwamba kingzard hana kiwango cha kuiendesha hii kesi. Khantwe apewe ujumbe kwamba sina kesi ila am not available, maamuzi ya mahakama hayana manufaa yoyote kwake. Mfungua mashitaka Thad athibitishe na kukubali kuifuta hii kesi.
Leo watu chali cha mende mapema kabisaPopo na bundi wote 00:08
Ni carbamazepine sio mie,mie karani tuWewe si ndio ulijipa uhakimu? Futa kesi mapema tuendelee na mambo mengine.


Kesi gani tena hiyo??Ni carbamazepine sio mie,mie karani tu
Ulale salama DearPopoz,
Usiku mwema wote mie Leo mmmmh. Sio kwa kibaridi hiki.
Bye
Usiku mwema popozPopoz,
Usiku mwema wote mie Leo mmmmh. Sio kwa kibaridi hiki.
Bye
Ni carbamazepine sio mie,mie karani tu
TupoLeo watu chali cha mende mapema kabisa
MmmhhhhPopoz,
Usiku mwema wote mie Leo mmmmh. Sio kwa kibaridi hiki.
Bye

naja kukusaidia funga mlangoPopoz,
Usiku mwema wote mie Leo mmmmh. Sio kwa kibaridi hiki.
Bye
Good nights,.![]()