Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Ili iweje? Nataka mhusika ndio ailipe mwenyewe na anipe fidis ya kunidhalilishaSawa naomba ulete hiyo bill hapa lindoni
Ili iweje? Nataka mhusika ndio ailipe mwenyewe na anipe fidis ya kunidhalilishaSawa naomba ulete hiyo bill hapa lindoni
Uje ofisiniMwl.maombi yangu vip? Mwisho nitaghairi sasa
Unatishia mtu mzima nyau Sasa jivuruge uoneNiko na sandarusi mpyaaa,jichanganye uone[emoji41][emoji41]
HahahahNilitumia lugha gongana kumradhi ni kagunia kausingizi naona kamejaa kichwani.
Kamanda lindo hadi mida ile utafika
Kumbe [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wakili tapeli
[emoji38][emoji38][emoji38]tuonane basi[emoji102] nakuona
Inaanza upya Ila Si LeoKwani ile kesi yetu imeishia,wapi?
Sawa ukilipwa unigawie na mimiIli iweje? Nataka mhusika ndio ailipe mwenyewe na anipe fidis ya kunidhalilisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili jamvi limepigwa spray ya kusinzia nini
Bado mapema mkuuAaah! Mzee mbona bado upo
Huendi kulala?
@dingimtoto nae kapotezwa na Inna nimenukuu ulivyosema[emoji23] [emoji23]Inna keshapotezwa na mtakatifu wake [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Na wewe upende zaidi tuone nani atakuwa mshindiNaon usingizi unatak unipende zaidi
Daaah!Kalale tu
Naomba uwe mzee wa baraza kwenye kesi yangu dhidi ya SamaritanHaha me sio mzoefu lakini ...... Unajua kuna watu wakienda ugenin wakiulizwa unataka chai au soda kun wengin hua waatasema nipe soda akati chai inaiva
Sasa kuparamia kweny nyuzi zenye wenyej na wazoefu co poa
Tutamalizana tu usijali[emoji6][emoji6]Inaanza upya Ila Si Leo
Wakili mvaa koti letu [emoji23]Wakili anayevaa suruali ya pinki,shati ya kaniki,kiremba kichwani,miwani myeusi na kichwani nywwle za kijani kama uwanja wa taifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakiliiiii
Naona wewe pia unaitwa [emoji23] [emoji144] [emoji23]Anaondoka na wawili
Mkewe(baby yake)na mumu[emoji125][emoji125][emoji125]
Wewee[emoji872][emoji872]
Kumbe ni kawaida watu kupotezana humu eeh??@dingimtoto nae kapotezwa na Inna nimenukuu ulivyosema[emoji23] [emoji23]