Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Kumradhi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi naona tua Avatar yako
Siku nyingine usitamke maneno tata
Kumradhi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi naona tua Avatar yako
Siku nyingine usitamke maneno tata
Nasinzia ile nzuri banaNasinzia ile mbaya yaan
Naona tu subiri uone fujo hapa ndo utajua naibiwa nnUnaibiwa nini?
SawaKumradhi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa kamoyo kametulia Ila usisahau nawe kuwahi maana Si kwa uandunje huo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yaani kamoyo kalifanya paaaa!!
Kalale ukue sawa eeh!
Ulale salama
Inakuangaliaje???[emoji12] [emoji12]Inaniangalia
Nimejiuzuru kujisikia ovyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole dear! Leo kunani jamani mbona mnaojisikia vibaya mnakuwa wengi hivo?
Niko chonjo hapa kwa loloteNaona tu subiri uone fujo hapa ndo utajua naibiwa nn
Asantee mkuu ...mim mgeni kweny huu uzii kabsa naon panAnifaaPoa mkuu karibu
Majuzi kati alinitumia vijisenti kwa njia ya simu, kabla hata sijavitoa akawapigia simu mawakala kusitisha muamala wakati mimi nilikuwa nimeshakula chakula nikijua nina hela kwenye simu, timbwili lililonikuta baada ya kukosa hela ya kulipia chakula almanusura linitoe roho.Jambo gani?
Hiyo presha tutamnyang'anya hatokuua
Hebu elezea vizuri kwanini unamshitaki na unamshitaki kwa kosa lipi tafadhali.
Nilijua umemuita InnaIna nn??
[emoji23]Mmmh! Kweli wewe kichwa kichafu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante 3DHaya polee
Kama kioo vileInakuangaliaje???[emoji12] [emoji12]
Nilitumia lugha gongana kumradhi ni kagunia kausingizi naona kamejaa kichwani.Pole ndugu yangu
Hii kipepo ya ugonjwa ime tuingilia hapaa
Karibu sana, anza kutamba uwanja uko waziAsantee mkuu ...mim mgeni kweny huu uzii kabsa naon panAnifaa
Kipenzi haya taratibu kabisa tujongeeNaona dalili za kuibiwa hapa, tunaondoka wote mguu kwa mguu
Bby pls
Njema Boss karibu jamviniHabarin wakuu
Abiria chunga mzigo wako [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona dalili za kuibiwa hapa, tunaondoka wote mguu kwa mguu
Bby pls
Naona kuna mutu inaniibia my bbybwanguNiko chonjo hapa kwa lolote