JamiiForums Usiku wa manane
Majuzi kati alinitumia vijisenti kwa njia ya simu, kabla hata sijavitoa akawapigia simu mawakala kusitisha muamala wakati mimi nilikuwa nimeshakula chakula nikijua nina hela kwenye simu, timbwili lililonikuta baada ya kukosa hela ya kulipia chakula almanusura linitoe roho.

Na mpaka sasa ninadaiwa sh.500000 za chakula tu bado gharama zingine zilizojitokeza ambazo ni sh.2,000,000 hapa nilipo jumla amenisababishia deni la sh.2,500,000
Sawa naomba ulete hiyo bill hapa lindoni
 
@Samaritan njoo ujibu hizi tuhuma juu yako kabla wanajamvi hawajatoa hukumu
 
Back
Top Bottom