Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Safi kabisa na izidi hadi usinione kwa wenge utakalo kuwa nalo[emoji6] [emoji6]Acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Safi kabisa na izidi hadi usinione kwa wenge utakalo kuwa nalo[emoji6] [emoji6]Acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Niko na sandarusi mpyaaa,jichanganye uone[emoji41][emoji41]
Niliona uko unaongea na isis mkihaidiana kukutana huku[emoji23][emoji23]Daaah!
Halaf Carbz nlikuja kule kwenye jamvi lenu ka kijes ukanichunia msg
Whitehorse[emoji872][emoji872]
HahahahaUnaibiwaaaa unanibiwaa x2
Iceman 3D naomba unikumbushe mwimbaji wa hako ka wimbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakili mvaa koti letu [emoji23]
Mimi namvizia MwifwaNaona wewe pia unaitwa [emoji23] [emoji144] [emoji23]
Hahaha labda niamke nifanye kam enzi zile nikiwa o leverNa wewe upende zaidi tuone nani atakuwa mshindi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndio maana nimemkataa mapema. Ngashtuka mieWakili anayevaa suruali ya pinki,shati ya kaniki,kiremba kichwani,miwani myeusi na kichwani nywwle za kijani kama uwanja wa taifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakiliiiii
Pole Sana mkuu naona dogo Da'Vinci kasepa jumlaHahahah
Leo mwangu dawa zina nipelekesha ile mbayaa
[emoji102][emoji38][emoji38][emoji38]tuonane basi
Huyu wakili ni tapeli[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndio maana nimemkataa mapema. Ngashtuka mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliona uko unaongea na isis mkihaidiana kukutana huku[emoji23][emoji23]
Hahahaha kamanda nilijua hadi majogooNaon usingizi unatak unipende zaidi
Kamanda mzugajiBado mapema mkuu
Kikubwa ni ushindi tu njia yoyote halali inaruhusiwa kutumikaHahaha labda niamke nifanye kam enzi zile nikiwa o lever
Niweke maji kweny karai ninawe uso kisha nitumbukiz miguu
Ndo njia itakayonifany nilishind hili pepo la usingizii
Sikuwaona mkuu nilisali nikaona kimya..Na kucha za plastic. Mkuu wale watu walikuwa na mshana jr Jana hilo nyumbani kwako uliwaona
Nipe background ya iyo kesi tafadhaliNaomba uwe mzee wa baraza kwenye kesi yangu dhidi ya Samaritan