Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,685
Utazoea taratibu kikubwa unatakiwa uwe mchangamfuHaha me sio mzoefu lakini ...... Unajua kuna watu wakienda ugenin wakiulizwa unataka chai au soda kun wengin hua waatasema nipe soda akati chai inaiva
Sasa kuparamia kweny nyuzi zenye wenyej na wazoefu co poa