Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Jambo gani?Jamani wanajamvi mimi nina mshitaki kwenu Samaritan juzi alinitenda jambo baya sana na anajisifia kuwa kanikomesha.
Hiyo presha tutamnyang'anya hatokuuaNaomba ahukumiwe maana naona anataka kuniua kwa presha kwa alichonitenda!
