Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Namaanisha muziepuke keai kama hiziKwahiyo unataka ney asisamehewe????
Namaanisha muziepuke keai kama hiziKwahiyo unataka ney asisamehewe????
Nisamehe wangu, nimetambua kosa langu
Kapumzike kesi imebaki kwa wenyewe tu chumbaniiiiiMie Naenda zangu kulala bana
Nimejikuta ugenini... ngoja niendelee kuzurura, nasihisi sikulipia usingiz, umegoma kabisa
Lift ya kwenda wapi maserati?
Hunitakii mema
Unataka nikaliwe nyama sio![]()
![]()

Safi kabisaSkiliza Ney nakupenda kuliko mtu yyte duniani ( yeah may be my mom, atakuzid kiaina).
Dont ever do that again, nimekusamehe
Tupumzike kwa amani basi.
Yameisha



I have nothing to say baby,Skiliza Ney nakupenda kuliko mtu yyte duniani ( yeah may be my mom, atakuzid kiaina).
Dont ever do that again, nimekusamehe
Tupumzike kwa amani basi.
Yameisha
Fanya muamala nikurushie wa jero, manaake nikikuunga wa buku utaamka kesho saa sita mchana.
huu wakwako hapa, wa Maserati sawaAsanteh kakaangu, sitarudia tena.Na wewe Ney sio sie tunakausha makoo hapa na kukomaa vidole alafu kesho na keshokutwa tena ulete huu upupu. Tutakusweka ndani bila dhamana. Hapa naongea tu ila kwa wanaume inatuumiza sana hii kitu. Katika watu wooooote, ukaona umuite Jose Baby, seriously? Binadamu tunakosea jitahidi hili kosa lisijirudie.
Skiliza Ney nakupenda kuliko mtu yyte duniani ( yeah may be my mom, atakuzid kiaina).
Dont ever do that again, nimekusamehe
Tupumzike kwa amani basi.
Yameisha

I have nothing to say baby,
Najiskia kulia kwa furaha.
Mungu akubariki iceman wangu, nakupenda sana mpenzi wangu.
Ulale salama. Na ugua pole pia, ntakuja kukuona asubuhi.
Usiku mwema.



Kichwa Kichafu njoo huku unaitwa![]()
![]()
![]()

Niliona mizinguo,ila wamesameheanaMapemaa au umechoka?
Ndio nani huyo?Hahahahhhh..
tena umenikumbusha ngoja niwaambie wanipeleke nikamuone laivu yule mdada wa 26/4
I have nothing to say baby,
Najiskia kulia kwa furaha.
Mungu akubariki iceman wangu, nakupenda sana mpenzi wangu.
Ulale salama. Na ugua pole pia, ntakuja kukuona asubuhi.
Usiku mwema.
PoleeeeNimejikuta ugenini... ngoja niendelee kuzurura, nasihisi sikulipia usingiz, umegoma kabisa
Asanteh kakaangu, sitarudia tena.