JamiiForums Usiku wa manane
Na wewe Ney sio sie tunakausha makoo hapa na kukomaa vidole alafu kesho na keshokutwa tena ulete huu upupu. Tutakusweka ndani bila dhamana. Hapa naongea tu ila kwa wanaume inatuumiza sana hii kitu. Katika watu wooooote, ukaona umuite Jose Baby, seriously? Binadamu tunakosea jitahidi hili kosa lisijirudie.
without bail
 
I have nothing to say baby,
Najiskia kulia kwa furaha.
Mungu akubariki iceman wangu, nakupenda sana mpenzi wangu.
Ulale salama. Na ugua pole pia, ntakuja kukuona asubuhi.
Usiku mwema.
There goes my baby
Thanks for loving me, i love you too my lady
Ntakuona asubuhi, uje upike uni maana hizi dawa zina nimaliza nguvu hatarii
 
Na wewe Ney sio sie tunakausha makoo hapa na kukomaa vidole alafu kesho na keshokutwa tena ulete huu upupu. Tutakusweka ndani bila dhamana. Hapa naongea tu ila kwa wanaume inatuumiza sana hii kitu. Katika watu wooooote, ukaona umuite Jose Baby, seriously? Binadamu tunakosea jitahidi hili kosa lisijirudie.

Umemaliza mkuu nimependa hili onyo
 
Back
Top Bottom