carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Nimeona fursa ya kuwa wakili hapa[emoji23][emoji23]Unafukua mikaburi
Nimeona fursa ya kuwa wakili hapa[emoji23][emoji23]Unafukua mikaburi
Hutakiwi kuwa na stress baba ake mdogo chanja jamaniSasa shem kupona si ni wewe na braza mnihudumie tuu ntapona
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata siku moja sijaonaaa.Nampenda sana Ney
She should have known!
Shem umewahi skia namuita mtu baby humu?
NimeshamjibuYes ask her!
Am a man i heve my pride tuu jaman
Nakupendea hapo tu baba chanja wanguAmeshaweka wazi msamehe uangalie kifwatacho likitoke tena huna jinsi
Sjui utasemaje nikuelewe Ney wanguPunguza hasira wangu
Asanteh shemeji yangu, Yaani natamani nilie kwa sauti jamaniAmeshaweka wazi msamehe uangalie kifwatacho likitoke tena huna jinsi
Jamani we Samaritan wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu nimekuita sehemu uje
Kk naye ndio huwa ana mchekea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu jirani yako alivyo mtu mbaya leo hayuko hapa.
Nani huyo??? Nipe codeMuoga sana yule.
Halafu hii kesi ya leo lazima angekimbia maana wote ni rafiki zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu anawaona mjuee Cc MaseratiHahahaha
Huwa wanasema hivo hivo!
Tatizo ni kwamba hasira hazijengi Ice.Carbz hebu kaeni kwenye situation yangu hii jaman.
Mna ichukulia simple yaan leo an furious na ugonjwa huu nadhan ntarud hospital usku huu.
Endelea your honorNimeona fursa ya kuwa wakili hapa[emoji23][emoji23]
Wapi huko tenaaaa?[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Asanteh shemeji yangu, Yaani natamani nilie kwa sauti jamani
KKNani huyo??? Nipe code
Nipo kwaajili yako wangu, kwanini majukumu yangu uwape watu wengine?Sasa shem kupona si ni wewe na braza mnihudumie tuu ntapona